VIDEO:KIKWETE AKOSOA PANGA LA MAGUFULI CCM

VIDEO: Rais mstaafu Kikwete : ‘Kutoka 388 kufika 163 ni panga kali’

Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete ni mmoja wa waliohudhuria mkutano mkuu maalum wa CCM Dodoma na akapata nafasi ya kuyazungumza haya.“Najua kuna watakaopungua tushakuwa wengi, maana kutoka 388 kufika 163 ni panga kali lakini mwenyekiti ameshatuhakikishia tusiwe na hofu ya kufanya yapo mengi”
 
Previous Post Next Post