MWANAFUNZI WA CHUO IFM AUAWA KIKATILI USIKU WA KUAMKIA JANA




Hamisi T.Hechi aliyekuwa mwanafunzi wa mwaka wa pili chuo cha usimamizi wa fedha(IFM)
usiku wa kuamkia jana alikutana na vibaka wenye silaha za jadi waliotaka kumpora simu yake

,lakini mwanafunzi huyo alipojitahidi kujitetea dhidi ya vibaka hao walimchoma na kitu chenye ncha kali shingoni

hali iliyopelekea kuvuja kwa damu nyingi na alifariki dunia akiwa njiani kupelekwa hospitali na wasamalia wema majira ya saa sita usiku Bwana alitoa na bwana ametwaa,jina la bwana lihimidiwe..AMEN

R.I.P HAMIS T.HECHI


Previous Post Next Post