OMOG:TUNAENDA KUVUNJA REKODI YA YANGA SOKOINE



Kocha Joseph Omog ajitapa kwenda kutumia vyema Uwanja wa Sokoine Mbeya na kuvunja rekodi ya kutoshinda katika uwanja huo katika mechi mbili mfululizo.Omog amesema anaenda kuvunja rekodi ya yanga ya kuchukua point zote 6 jijini mbeya


Simba inatarajiwa kukutana na timu za Mbeya City na Tanzania Prisons, katika mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara inayoendelea nchini.


SOURCE:AZAM TV
Previous Post Next Post